Monday 1 February 2016

TANZANIA LIFE SAVING SOCIETY SWIMMING CHAMPIONSHIP 2016: DAR SWIM CLUB WAIBUKA WASHINDI UPANGA IST



Dar Swim Club wameibuka washindi wa michuano mikali ya swimming iliyofanyika katika shule ya Upanga International School of Tanganyika...Dar Swim Club waliibuka na points 2,421 ambapo wanaume walipata points 1,526 na wanawake walipata points 895...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment