Saturday 6 February 2016

VODACOM PREMIER LEAGUE: AZAM YAINGIA KAMBINI BAADA YA USHINDI ZAMBIA



Azam FC imewasili salama kutoka Zambia na kuingia moja kwa moja kambini...


Azam walienda Zambia kwa mwaliko maalum kushiriki shindano la kimataifa lililojumuisha timu 4 huko Ndola, Zambia.

Azam waliibuka washindi wa shindano hilo ambali lilikuwa na timu ya Zesco United ambao ni mabingwa huko, Zanako FC na mabingwa nchini Zimbabwe Chicken Inn.

Azam sasa wanajifua waendelee na ligi ya bara na mechi inayofuata ni dhidi ya Mwadui ya Shinyanga Jumapili...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment