Thursday 25 February 2016

BRAZIL: PICHA AMBAZO HAZIJAWAHI KUONEKANA MPAKA SASA ZA PELE, GARINCHA NA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL MWAKA 1966 ZAVUTIA WENGI UINGEREZA

Pele akiwa na Captain Bellini (Picha: Neil Perkins)

Mwaka 1966 timu ya taifa ya Brazil ilisafiri kwenda kushiriki World Cup huko Uingereza...




Timu hiyo ilipikuwa Uingereza ilikaa katika hoteli moja inayoitwa Lymm Hotel eneo linaloitwa Chesire.


Wakati wanakaa hapo wahudumu na wenye hoteli walikuwa wanafuraha sana kuwaona boys from Brazil na wakapiga picha nyingi huku wakipata sahihi za wachezaji.


Picha hizo sasa zimeibuka na kuwekwa kama maonyesho ya kumbukumbu ya ujio wao katika hiyo hoteli.


Katika hizo picha yuko  mchezaji bora duniani Pele, Captain Bellini, Garincha, na wengine wengi.

Njumu na nyuzi za Pele kipindi hicho (Phicha: Alan Taylor)

Brazil hawakufanya vizuri mwaka huo na Uingereza ndiye iliyebeba kombe la dunia lakini waliacha gumzo kubwa sana  huko Chesire katika hoteli ya Lymm...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment