Tuesday 16 February 2016

MANCHESTER UNITED: NICKY BUTT AONGOZA ACADEMY OLDTRAFFORD


Nicky Butt mchezaji wa zamani kama midfielder wa Man U sasa ataongoza shule ya mpira wa miguu kwa vijana Academy pale Old Traffrord...Nicky Butt anajulikana kama mchezaji aliyekuwa ndani ya squad ya "Class of 92"...Butt mwenye umri wa miaka 41 alitokea chini sana akiwa kijana na kuichezea Man U mechi 387 toka mwaka 1992 mpaka mwaka 2004...Alivyorudi tena kwenye club mwaka 2012 alikuwa kocha reserve na kocha wa U-19...Toka mwaka 2008 vijana 18 kutoka Academy wameweza kucheza Premier League ukilinganisha na vijana 8 wa Manchester City...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment