Thursday 4 February 2016

CRICKET: DCC YATANGAZA MABADILIKO YA KIDOGO YA MASHINDANO YA T20


Mmoja wa waandaaji wa mashindano ya T20 ya Cricket, Muzahir Patel, amesema mechi kati ya Aces Strikers na Jain Singh haitofanyika tena Leaders Club na badala yake itakuwa mechi ya AKSC watachuana na Eleven Nights...Mechi ya 2 Jumamosi itafanyika Annadil Burhan Oval baina ya St. Gobain A na Union A...mechi hizo zitaongozwa na mchezo wa Overs 20...Jumapili mambo yataendelea kama yalivyo pangwa kwenye viwanja vya Leaders Club, Annadil Burhan Oval na Gymkhana Club...Bofya hapa upate ratiba kamili.

No comments:

Post a Comment