Tuesday 2 February 2016

PEP GUARDIOLA: PEP KUMRITHI PELLEGRINI



Boss wa zamani wa Barcelona, Pep Guardiola, yuko tayari kupokea mikoba ya Manuel Pellegrini...Guardiola amekubali mkataba wa miaka 3 kuisimamia Manchester City msimu huu ukiisha...Guardiola ni boss pekee pale Barcelona aliyefanikiwa sana, kwa mfano, amewaletea Barca vikombe 14 katika miaka 4 na kati ya hivyo vikombe viko vya Champions League 2 na La Liga 3...Huko Ujerumani akiwa na Bayern ameshinda kombe mara 2 na sasa Bayern wako points 8 mbele ya timu zote...Kati ya mechi 239 Pep Guardiola amepoteza mechi za ligi 19 tu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment