Saturday 13 February 2016

EPL: MANCHESTER UNITED YACHAPWA NA SUNDERLAND


Sunderland sasa imejipa matumaini ya kuchomoka chini na kumaliza ligi nafasi za kati baada ya kuichapa Manchester United 2-0...Wahbi Khazri attacking midfielder anayetoka Tunisia aliwaweka Sunderland mbele baada ya dakika 3 tu kuokana na free kick iliyowachanganya Man U...


Takriban dakika ya 39 Anthony Martial aliweza kupata bao lililompita Vita Manone...Corner ya Khazri ilimkuta Lamine Kone ambae alipiga kichwa kilichomgonga de Gea na kuzama ndani...Man U sasa naona ndoto za ubingwa zinaota mabawa na pia kumaliza nafasi ya 4 itakuwa shida...


Kocha van Gaal akae mkao wa kusepa maana mechi ya leo walikuwa kama hawataki kucheza vile...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment