Monday 1 February 2016

LA LIGA: REAL MADRID YAIGARAGAZA VIBAYA SANA ESPANYOL



Real Madrid imepunguza uwazi ulioachwa na Barcelona na kufikia points 4 tu...Hii ni baada ya kuwachapa mabao 6 kwa mtungi Espanyol huku Cristiano Ronaldo aliondoka na mpira kwenda nao nyumbani baada ya hat-trick safi...Dakika 16 tu Real walikuwa wanaongoza kwa mabao 3 na bao la kwanza lilitoka kwa Karim Benzema kupitia cross ya James Rodriguez...


Wakienda mapumziko Real walikuwa na mabao 4...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment