Thursday 11 February 2016

NAPOLI: MASHABIKI WAPINGA UBAGUZI WA RANGI UWANJANI


Mashabiki wa timu ya soka ya Napoli walipinga ubagui wa rangi aliofanyiwa dogo mwenye umri wa miaka 24, Kalidou Koulibaly, na mashabiki wa Lazio Jumatano wiki iliyopita...Mashabiki wa Napoli walimuunga mkono Koulibaly kwa kuweka bango lenye uso wake kwa mbele...Mechi hiyo ya Jumatano ilisimamishwa kwa dakika 3 baada ya mashabiki wa Lazio kumzomea Kulibaly kila akishika mpira...


Lazio walipigwa viliwi na kupigwa tena fine ya £38,250 na kuwafungia mashabiki mechi 2 za nyumbani...Tabia za kipumbavu kama hizo za ubaguzi zinaharibu kabisa sifa ya soka duniani na lazima tabia hizo zipingwe vikali...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment