Thursday 18 February 2016

BARCELONA: LIONEL MESSI WA KWANZA KUPATA MABAO 300


Lionel Messi amereka rekodi nyingine kuwa mtu wa kwanza Barca kupata mabao 300...Messi alipiga bao la 300 katika game ya Barca dhidi ya Sporting Gijon...Barca waliibuka washindi wa mabao 3 kwa 1 na kuwaweka points 6 mbele kwenye msimamo wa ligi...Bao la kwanza kabisa la Messi ilikuwa miaka 11 iliyopita...Dogo huyo pia ni mshindi wa tuzo kubwa ya Ballon D'Or mara 5...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment