Thursday 11 February 2016

AZAM SPORTS FEDERATION CUP: PANONE KUCHUANA NA AZAM FC 16 BORA


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa draw ya michuano ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup)...Azam  FC itakutana na Panone ya Kilimanjaro katika uwanja w Ushirika tareheh 28 February...Panone iko Ligi Daraja la Kwanza na pia iko chini ya usimamizi wa mzawa Fred Felix Minziro...Atakayeshinda kombe hili atawakilisha Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika mwaka ujao...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment