Friday 5 February 2016

ARSENAL: TOMAS ROSICKY NJE MIEZI 3



Arsenal wamempoteza midfielder Tomas Rosicky kwa miezi 3 kutokana na majeraha kwenye paja...Rosicky mwenye umri wa miaka 35 mkataba wake unaisha mwisho wa msimu...Rosicky anayetokea Czech Republic aliingia Arsenal mwaka 2006 ameichezea Aesenal mara 246...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment