Friday 12 February 2016

COPA DEL REY: SEVILLA KUCHEZA NA BARCA FAINALI


Sevilla wameingia fainali baada ya kutoka draw na Celta ya mabao 2-2 na kupita kwa aggragate ya 2-6...Sevilla sasa watakutana na Barcelona kwenye fainali ya kombe maarufu sana la Copa del Rey...Barca waliwachapa Valencia kwa aggragate ya 8-1...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment