Wednesday 17 February 2016

CHAMPIONS LEAGUE 2016: CHELSEA YACHAPWA 2-1 NA ST. GERMAIN LAKINI YAAMBULIA BAO LA UGENINI


Wazee wa darajani, Chelsea FC, walichapwa mechi yao ya kwanza ya 16 bora na Paris Saint Germain 2-1...Roberto Cavani alitoka benchi na kufanya mambo dakika ya 78 hivi wakati alipopokea pasi kutoka kwa Angel Di Maria... Obi Mikel ingawa sio mtu wa kupata mabao alipata bao la muhimu sana la ugenini ambalo litawasaidia sana Chelsea karika mzunguko wa 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment