Tuesday 2 February 2016

EVERTON: STRIKER WA LOKOMOTIV OUMAR NIASSE NDANI YA GOODISON PARK



Striker wa Lokomotiv Moscow, Oumar Niasse, amesaini mkataba wa miaka 4 na nusu na timu ya Goodison Park...Niasse anatoka Senegal na mwenye umri wa miaka 25 msimu huu amepata maba 13 katika mechi 25 alizocheza...Boss wa Everton Roberto Martinez amesema walikuwa wanamfukuzia striker huyo muda mrefu na wamefurahi anaingia Goodison Park...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment