Thursday 11 February 2016

WEST HAM: DIMITRI PAYET KARIBU KUSAINI MKATABA MPYA WEST HAM


French international, Florent Dimitri Payet, yuko mbioni kusaini mkataba mpya West Ham hii ni pamoja na kufukuziwa sana na wachina...Habari hizi zinatoka kwa meneja wa Upton Park Slaven Bilic...Wachina wametoa dau la milioni £38 kunyakua play-maker huyo mwenye umri wa miaka 28...Payet amekaa West Ham miezi 7 tu lakini anamakeke balaa na ndio maada hawataki mumwachia dogo...Bofya hapa upate habari zaidi. 

No comments:

Post a Comment