Thursday 11 February 2016

CHAN 2016: DR CONGO MABINGWA WA CHAN 2016 WAZAWADIWA MAGARI YA KIFAHARI


DR Congo ni mabingwa wa mabingwa CHAN 2016 baaada ya kuwachapa Mali 3-0 ndani ya Rwanda...Leopards (Chui) kwa jina maarufu wanavyofahamika wamekuwa timu ya kwanza kushinda mara 2...


Ushindi wa kwanza ulipatikana michuano ilivyozinduliwa mwaka 2009...Kwa furaha tele Rais wa DR Congo, Joseph Kabila, aliwazawadia magari mapya kabisa wachezaji wote wa timu ya Congo...Kabila alifurahia sana ushindi huo mkubwa ambao umeleta heshima kubwa katika nchi DR Congo...


Wachezaji walipewa Toyota Prado "Macho ya Simba" gari kubwa za kifahari...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment