Wednesday 10 February 2016

ZAMALEK: MIDO ATIMULIWA ZAMALEK BAADA YA SIKU 37 TU


Mido, mchezaji wa zamani wa Tottenham, Middlesbrough, Roma, Ajax na Marseille, ametimuliwa baada ya kuwa kocha wa Zamalek kwa siku 37 tu huko Egypt...Alianza January 4 kufundisha Zamalek na mambo yalianza vizuri tu walipata ushindi mara 4 lakini baada yahapo ilifuata draw na kuchapwa 2-0 na mahasimu wao wa jadi Al Ahly basi akawa amekalia kuti kavu...Al Ahly sasa wanaongoza ligi kwa points 7...Mohamed Salah sasa ndio anaongoza Zamalek kwa muda...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment