Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 10 February 2016
NFL: BRONCOS MABINGWA SUPER BOWL 50
Denver Broncos ndio mabingwa wa mchezo wa American Football kwenye ligi ya NFL...Broncos chini ya QB (Quarterback) Payton Manning walifanikiwa kuwachapa Carolina Panthers 24-10...Brocos walikuwa na defense kali sana ambayo iliwasaidia kupata turnovers 3 kutoka kwa QB na MVP Cam Newton...Mwanzo Panthers ndio walikuwa wanaaminika kuwa watachukua kombe baada ya kumaliza msimu...Bofya hapa upate habari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment