Saturday 6 February 2016

FIFA: CAF YAMTOSA MOSIMA GABRIEL "TOKYO" SEXWALE


CAF imeamua kumpigia kura Sheikh Salman bin Ebrahim al-Khalifa na kumtosa Tokyo Sexwale kwenye kinyan'ganyiro cha urais wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA...Tokyo Sexwale ni mfanyabiashara mkubwa sana huko Afrika ya Kusini na uamuzi huo unatupilia mbali kupata rais wa FIFA wa kwanza mwafrika...Uamuzi huo ulifikiwa kwenye mkutano uliofanyika Rwanda jana na sassa Sheikh Salman atapata kura zote za federation zote 54 za Afrika...Uchaguzi utafanyika tarehe 26 February...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment