Wednesday 10 February 2016

FA CUP: WEST HAM YIFUNGA LIVERPOOL MWISHONI


West Ham yasonga mbele baada ya kuwashangaza Liverpool mwishoni kabisa...West Ham walianza kuona lango la wazee wa the Kop lakini badae kidogo baada ya mapumziko walirudisha bao...Angelo Ogbonna alipachika bao la kichwa dakika za nyongeza na kuwaingiza Hammers 16 bora....Hammers watakutana na Blackburn kwenye round a 5 tarehe 21...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment