Monday 15 February 2016

LA LIGA: TAP PENALTY YAFURAHISHA MASHABIKI WA SOKA DUNIANI


"Tap penalty" ni penalty ambayo wengi katika ulimwengu wa soka hawaijui lakini Messi na Suarez alionyesha ulimwengu jinsi penalty hiyo inavyogongwa...Penalty hiyo ni kwamba mpigaji anaugusa mpira mara moja na mchezaji mwingine anamalizia...Messi alikuwa apige hiyo penaly lakini aliu "tap" mpira ukasogea kidogo na Suarez akapachika wavuni na kukamilisha hat-trick yake...


Tap-Penalty inahistoria yake toka mwaka 1957 katika mechi ya Belgium na Iceland na ingawa haitumiki sana ni penalty moja matata sana ila kuipatia ni issue...Barcelona walishinda 6-1 dhidi ya Celta Vigo na mechi ilijaa mbwembwe na ufanisi wa hali ya juu sana...Bofya hapa upate historia ya tap penalties.

No comments:

Post a Comment