Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Guangzhou Evergrande. Show all posts
Showing posts with label Guangzhou Evergrande. Show all posts
Friday, 12 February 2016
ATLETICO MINEIRO: ROBINHO ASAINI MKATABA WA MIAKA 2
Robinho mchezaji wa zamani wa AC Milan na timu ya kichina ya Evergrande amesaini mkataba wa miaka 2 na Atletico Mineiro ya Brazil...Satos walikuwa wanamtaka tena lakini Mineiro wamemdaka...Bofya hapa upate habari zaidi.
Friday, 5 February 2016
CHINESE SUPER LEAGUE: TIMU ZA UCHINA ZA VUNJA REKODI YA USAJILI MARA 3 NDANI YA SIKU 10
Jiangsu Suning F.C. wamemnyakua midfielder kutoka Brazil na pia wa timu ya Shakhtar, Alex Teixeira, kwa kitita cha £38.4 milioni...Hii ni mara ya 3 sasa ndani ya siku 10 rekodi za transfer kuvunjwa...Wa kwanza alikuwa Ramirez kutoka Chelsea kwenda Jiangsu Suning kwa £25 milioni akafuatiwa na Jackson Martinez kutoka Atletico Madrid kwenda Guangzhou Evergrande kwa £31.5 milioni na sasa Alex Teixeira...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 3 February 2016
GUANGZHOU EVERGRANDE: JACKSON MARTINEZ WA ATLETICO AWEKA REKODI YA TRANSFER KWENDA GUANGZHOU
Timu inayocheza kwenye Chinese Super League, Guangzhou Evergrande, imemnyakua Jackson Martinez kifaa cha Colombia kwa pounds za Uingereza milioni 31...
Subscribe to:
Posts (Atom)


