Wednesday 17 August 2016

RIO 2016: KIPYEGON AMPITA DIBABA NA KUSHINDA MBIO ZA WANAWAKE ZA 1,500M


Faith Kipyegon kutoka Kenya amefanikiwa kumpita bingwa wa zamani wa mita 1,500 Genzebe Dibaba kutoka Ethiopia  na kushinda medani ya dhahabu ya Rio Olympics...Kipyegon alikuwa nyuma lakini ilipifika nusu alichomoza na kumwacha bingwa Dibaba nyuma mpaka mwisho...Muda ya Kipyegon ni wa kasi kuliko wote duniani mwaka huu...Dibaba alishinda medani ya Silver na bingwa mwingine wa zamani Jenny Simpson amechukua Bronze...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment