Thursday 11 August 2016

ARSENAL FC: AGENT AMESEMA MAKUBALIANO TAYARI YA SHKODRAN MUSTAFI


Shkodran Mustafi amekubaliana na Arsenal kuhamia Emirates kutoka Valencia asema agent wake...Agent huyo maarufu, Ali Bulut, amesema mambo yako tayari kasoro upande wa Valencia...Mustafi atasaidia sana Arsenal...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment