Thursday 18 August 2016

SIMBA SPORTS CLUB: UONGOZI WA SIMBA NA MO DEWJI WAKUBALIANA KIMSINGI KUHUSU UMILIKI WA TIMU


Uongozi wa Simba umepitisha maamuzi ya awali ya kumuuzia hisa ndugu Mohammed Dewji au kwa jina maarufu mjini MO...Kikao kilifanyika Jumanne kati ya uongozi wa Simba na MO kuhusu umiliki wa MO wa asilimia 51 ya hisa za club....MO amesema atatoka 20 bilioni kununua hiza katika club hiyo ya msimbazi....Msemaji wa club ya Simba Haji Manara amesema wamekubaliaka kimsingi katika upangaji wa hisa hapo ni baada ya kukubaliana stucture ya uongozi utakaaje wiki kama 3 zilizopita...


Simba itakuwa club ya kwanza nchini na labda nchi za jirani kubadilisha mfumo na kuendeshwa kisasa kupitia umiliki wa hisa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment