Wednesday 10 August 2016

CHELSEA FC: MICHY BATSHUAYI NA N'GOLO KANTE WATAMBUSLISHWA RASMI KWA MASHABIKI KAMBINI


Antonio Conte amewatambulisha kwa mara ya kwanza vifaa vipya vya Stamford Bridge Belgian international Michy Batshuai na French international N'golo Kante kwa mashabiki....


Vivyaa hivyo vilionyeshwa mbele ya mashabiki 5,000 katika eneo ambalo wanafanya mazoezi...


Mazoezi ya kujifua kwa Premier League yameanza rasmi chini ya usimamizi wa Antonio Conte...


Blues watafungua msimu wao dhidi ya wenzao wa jiji hilo hilo la London West Ham United...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment