Friday 19 August 2016

CRYSTAL PALACE: LIVERPOOL YAKUBALIANA NA CRYSTAL PALACE KUHUSU BENTEKE


Hatimaye Liverpool na Crystal Palace wamefikia muafaka kuhusu Cristian Benteke...Palace wamekubali kumchuua Benteke kwa pounds milioni 27 na sasa anaelekea London kufanyiwa uchunguzi wa kiafya kabla ya kutangazwa rasmi kwa mashabiki na waandisi wa habari...Benteke aliingia Reds kwa dau la pounds milioni 32.5 Julu 2015 na sasa atakuwa mchezaji wa bei mbaya kwa historia ya Palace...Bofya hapa upate babari zaidi.

No comments:

Post a Comment