Friday 26 August 2016

VPL: KOCHA WA TOTO AFRICA AIPONGEZA TIMU KWA USHINDI


Kocha wa Toto Africa, Rogasian Kaijage, ameipongeza timu yake ya Toto Africa kwa ushindi dhidi ya Mwadui FC...Toto ilipata bao kipindi cha kwanza dakika ya 35 kupitia kwa Waziri Junior ndani ya CCM Kirumba Mwanza...Kocha amesema alifurahi Toto ilitengeneza nafasi nyingi ila ilikosa mabao mengi...Kocha wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelo alikubali matokeo na kusema wachezaji hawakuwa kwenye form kabisa.

No comments:

Post a Comment