Wednesday 17 August 2016

CHAMPIONS LEAGUE: AGUERO APATA HAT-TRICK NA KUKOSA MATUTA MAWILI HUKU STEAUA BUCHAREST IKILA KICHAPO CHA MABAO 5-0


Steaua Bucharest imekula kichapo balaa nyumbani baada ya Manchester City chini ya kocha mpya Pep Guardiola kuirarua 5-0...Mabao 3 kati ya hizo 5 yalitoka kwa Sergio Aguero na hapo alikosa matuta mawili...Huu ni mchuano wa Champions league wa kufuzu...


Kwa ujumla City walikuwa wako fiti sana kuliko Bucharest na kifaa chao kipya Nolito kilipiga besela na kutingisha mwamba mara 2 na kufunga bao la kwanza kuitia pasi makini sana kutoka kwa Kevin de Bruyne...


Pep alimtema tena Joe Hart kwenye squad na inasemekana Haet yuko mbioni kusema muda wowote sasa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment