Showing posts with label Steaua Bucharest. Show all posts
Showing posts with label Steaua Bucharest. Show all posts

Wednesday, 23 August 2017

Wednesday, 24 August 2016

MANCHESTER CITY: CLAUDIO BRAVO GETTING A MEDICAL AT MANCHESTER CITY


Former Barcelona goalkeeper is due for a medical at Manchester City...Chile international, Claudio Bravo, who is 33 of age flew into Manchester...Joe Hart is on his way out but he will start for the first time against Steaua Bucharest...Pep said that the deal is not yet done but he will speak about later...Bravo has already been told he could leave Barcelona.

Wednesday, 17 August 2016

CHAMPIONS LEAGUE: AGUERO APATA HAT-TRICK NA KUKOSA MATUTA MAWILI HUKU STEAUA BUCHAREST IKILA KICHAPO CHA MABAO 5-0


Steaua Bucharest imekula kichapo balaa nyumbani baada ya Manchester City chini ya kocha mpya Pep Guardiola kuirarua 5-0...Mabao 3 kati ya hizo 5 yalitoka kwa Sergio Aguero na hapo alikosa matuta mawili...Huu ni mchuano wa Champions league wa kufuzu...


Kwa ujumla City walikuwa wako fiti sana kuliko Bucharest na kifaa chao kipya Nolito kilipiga besela na kutingisha mwamba mara 2 na kufunga bao la kwanza kuitia pasi makini sana kutoka kwa Kevin de Bruyne...


Pep alimtema tena Joe Hart kwenye squad na inasemekana Haet yuko mbioni kusema muda wowote sasa...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 16 August 2016

MANCHESTER CITY: HART KUFIKIRIA MAISHA YA MBELE BAADA YA KUTEMWA NA PEP GUARDIOLA


Baada ya kutemwa na Pep Guardiola sasa Joe Hart anafikiria maisha mengine baada ya hapo...Pep memtema Hart kutokana na mahusiano yao kutokua mazuri...Manchester City wanaingia uwanjani huko Romania na Steaua Bucharest katika mechi ya Champions League....Pep amemtema Yaya kwa mechi hii muhimu sana kwa City...Bofya hapa upate habari zaidi.