Showing posts with label Yaya Toure. Show all posts
Showing posts with label Yaya Toure. Show all posts

Saturday, 12 November 2016

Friday, 4 November 2016

MANCHESTER CITY: YAYA TOURE APOLOGISES FOR 'MISUNDERSTANDINGS'


Pep Guardiola had a bone to pick with Yaya Toure's agent Dimitri Seluk whereby he wanted an apology from the Agent and on the other hand the Agent demanded an apology....

Tuesday, 16 August 2016

MANCHESTER CITY: HART KUFIKIRIA MAISHA YA MBELE BAADA YA KUTEMWA NA PEP GUARDIOLA


Baada ya kutemwa na Pep Guardiola sasa Joe Hart anafikiria maisha mengine baada ya hapo...Pep memtema Hart kutokana na mahusiano yao kutokua mazuri...Manchester City wanaingia uwanjani huko Romania na Steaua Bucharest katika mechi ya Champions League....Pep amemtema Yaya kwa mechi hii muhimu sana kwa City...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 20 June 2016

YAYA TOURE: INTER MILAN WANAMTAKA TOURE




Yaya Toure anaweza kuhamia Inter Milan lakini badi dili ni '50-50'...Yaya Toure mwenye umri wa miaka 33 bado ana mwaka 1 kwenye mkataba wake...Boss wake wa zamani Roberto Mancini ndiye kocha wa Inter Milan...Boss mpya wa Manchester City, Pep Guardiola, atatambulishwa kwa wadau ma City baada ya wiki kama 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 25 February 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MAN CITY YACHEZA VIZURI NA KUSHINDA KIEV


Manchester City ilikuwa kamili na sio ile timu iliyofungwa majuzi kwenye FA Cup...Katika mechi ya jana Man City iliweza kuwakabili vyema kipindi cha kwanza Dynamo Kiev na kipindi cha kwanza kupata mabao 2...Mabao yalitoka kwa Segio Aguero dakika ya 15 na David da Silva dakika ya 40...Kiev waliweza kupata bao dakika ya 58 lakini Yaya Toure aliweza kuondoa kui ya mabao kwa kutingisha nvyavu dakika ya 90...



Kwa taarifa tu Sergio Aguero amefunga mabao 16 katika mechi 17 za Champions League alizocheza...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 22 December 2015

EPL: ARSENAL YAONYESHA MATUMAINI YA KUCHUKUA KOMBE



Arsenal baada ya kuwachapa Manchester City 2-1 sasa wanaona wako tayari kufukuzia kombe la premiership...Kocha wa Arsenal amesema ushindi huu unawapa Arsenal imani kushinda kombe...Arsenal sasa iko points 3 mbele ya Man City lakini iko chini ya Leicester kwa points 2...Bao la Toure mwishoni halikuzaa matunda kwani makosa yao yalifanya Arsenal kuwakimbiza muda mrefu...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 17 November 2015

BBC AFRICA FOORBALLER OF THE YEAR: MAJINA WAMETOKA SASA UNAWEZA KUPIGA KURA


Majina ya wachezaji bora kutoka Africa yametoka...Majina hayo matano yalitangazwa jijini Jozi na yako tayari kupigiwa kura na mashabiki...Kwenye list hiyo yuko dogo kutoka Algeria Yacine Brahimi mshindi wa mwaka jana pamoja na Piere-Emerik Aubameyang anayetokea Gabon...Wengine ni Andre Ayew kutoka Ghana, Sadio Mane na Yaya Toure kutoka Ivory Coast...Bofya hapa upate habari zaidi.