Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Dynamo Kiev. Show all posts
Showing posts with label Dynamo Kiev. Show all posts
Wednesday, 27 April 2022
Wednesday, 16 March 2016
CHAMPIONS LEAGUE 2016: MANCHESTER CITY YAFIKA NUSU FAINALI KWA MARA YA KWANZA KABISA
Manchester City kwa mara ya kwanza imefika robo fainali ya Champions League...Man City waliweza kufika hapo baada ya kutoka draw na Dynamo Kiev wakiwa mbele kwa aggregate ya 3-1...Mechi hiyo ilikuwa ovyo sana labda wakati Jesus Navas alipo gonga mwamba lakini mechi haikuwa na mvuto kabisa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Thursday, 25 February 2016
UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MAN CITY YACHEZA VIZURI NA KUSHINDA KIEV
Manchester City ilikuwa kamili na sio ile timu iliyofungwa majuzi kwenye FA Cup...Katika mechi ya jana Man City iliweza kuwakabili vyema kipindi cha kwanza Dynamo Kiev na kipindi cha kwanza kupata mabao 2...Mabao yalitoka kwa Segio Aguero dakika ya 15 na David da Silva dakika ya 40...Kiev waliweza kupata bao dakika ya 58 lakini Yaya Toure aliweza kuondoa kui ya mabao kwa kutingisha nvyavu dakika ya 90...
Kwa taarifa tu Sergio Aguero amefunga mabao 16 katika mechi 17 za Champions League alizocheza...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)


