Friday 19 August 2016

RIO 2016: USAIN BOLT AWIKA TENA RIO KWA KUSHINDA MBIO ZA 200M


Usain Bolt achukua dhahabu ya mita 200 tena...Ni medani yake ya 8 kwa ujumla katika Olympics na ya 19 kwa ujumla katika michuano ya kimataifa ukijumlisha na Olympics...Bolt alitumia muda wa sekunde 19:78 na kuwashinda Andre de Grasse kutoka Canada na Christophe Lemaitre kutoka France...Lemaitre alimaliza muda sawa na Adam Gemili wa Great Britain lakini alinyimwa medani...


Bolt leo atakimbia mbio za 4x100 relay na akishinda ataweka historia mpya katika ulimweng wa riadha na Olympics kwa ujumla...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment