Saturday 13 August 2016

EPL: TIMU ILIYOPANDA DARAJA HULL CITY IMEWACHAPA MABINGWA WATETEZI LEICESTER CITY FC


English Premiership ni ligi ngumu na utumiaji huo umeonekana leo kwenye mechi za kwanza za EPL baada ya mabingwa watetezi Leicester City kuchapwa na timu iliyopanda daraja ya Hull City....Hull ni timu ambayo hauna kocha na haina uhakika kama itabakia premiership...Bao la kwanza lilitoka kwa Adama Diomande dakika ya 45+1 na Mahrez akasawazisha kupitia tuta dakika ya 47...Bao la ushindi lilitoka kwa Snodgrass dakika ya 57...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment