Tuesday 16 August 2016

RIO 2016: DAVID RUDISHA ATETEA VYEMA DHAHABU YAKE YA 800M


David Rudisha kutoka Kenya ameweza kuchukua tena medani ya dhahabu katika mbio za mita 800...Mwanzoni Rudisha alipitwa na Alfred Kipketer lakini zilivyobalia mita 300 Rudisha aliongoza na hatimaye kushinda kwenye muda wa sekunde 42.15...Taoufik Makhloufi kutoka Algeria alichukua nafasi ya 2 na Clayton Murphy kutoka USA alichukua nafasi ya 3...Rudisha ameuwa mwanariatha wa kwanza toka Peter Snell kutoka New Zealand mwaka 1964 kuchukua dhahabu tena kwenye mbio hizo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment