Friday 19 August 2016

TENNIS: SERENA WILLIAMS YUKO HATIANI KUPOTEZA NAFASI YA KWANZA DUNIANI


Serena Williams amejitoa kwenye michuano ya Cincinnati Masters kutokana na majeraha ya bega...Kutokana na kujitoa huko Serena anaweza kupoteza nafasi yake ya kuwa namba 1 duniani...Anjelique Keber akishinda michuani hiyo atakuwa ndio namba 1 mpya...Serena amekuwa mamba 1 kwa wiki 183 mfululizo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment