Wednesday 17 August 2016

MINO RAIOLA: AGENT WA POGBA AMEANZA KUTUMIA FAIDA ALIYOIPATA KWENYE YA DEAL YA POGBA KWA KUNUNUA NYUMBA YA GANGSTER AL CAPONE


Mino Raiola ni agant wa kifaa cha bei mbaya sana cha Manchester united Paul Pogba...Katika deal ya kumpeleka Pogba Manchester United Raiola alipata pounds milioni 20...


Katika hizo 20 alizopata kaamua kuchomoa milioni 7 tu na kununua nyumba ya kifahari sana yenye vyumba 7 ambayo alikuwa anakalia gangster hatari sana miaka ya zamani sana Al Capone...


Miaka hiyo Al Capone alinunua nyumba hiyo kwa $40,000 kwaajili ya familia yake...


Katika hiyo nyumba hiyo ya pounds milioni 7 imekuja na myumba yingine 2 na private beach pamoja na swimming pool kubwa...


Nyumba hiyo inaitwa 93 Palm na iko Miami Florida...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment