Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Tuesday, 9 August 2016
MANCHESTER CITY: BEKI JOHN STONES NDANI YA CITY
Beki wa Everton John Stones ameingia Manchester City kwa dau la pounds milioni 47.5...Stones amekuwa beki wa 2 wa bei mbaya kuliko wote...England international mwenye umri wa miaka 22 amesaini mkataba wa miaka 6 na City...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment