Saturday 20 August 2016

EPL: MANCHESTER UNITED YAICHAPA SOUTHAMPTON 2-0


Manchester United wameshinda mechi yao ya 2 katika msimu mpya wa premiership dhidi ya Southampton 2-0...Zlatan Ibrahimovich alifunga mabao yote na kuipa timu yake mpya points 3...


Bao la kwanza lilikuja mnamo dakika ya 36 na bao la 2 dakika ya 56 kupitia tuta...Sasa Manchester United wanaongoza ligi waliwa na points 6...Pogba alicheza mechi yake ya kwanza kabisa toka anunuliwe kwa bei mbaya sana...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment