Monday 22 August 2016

MANCHESTER UNITED: RANGERS YAPITWA NA MAN UNITED KATIKA KUMNYAKUA DOGO KIFAA KIKALI CHA SCOTLAND


Manchester United wamefanikiwa kumnyakua dogo hatari sana kutoka Scotland Mathew Knox...Knox alikuwa anafukuziwa pia na Rangers...Dogo Knox mwenye umri wa miaka 16 alikuwa anachezea ligi ya Scotland ya League One akiwa na  timu ya Livingstone toka anamiaka 11...Aliweka historia kwenye club hiyo ya Livingstone kwa kuwa mchezaji mdogo kuliko wote kuanza kucheza timu ya wakubwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment