Monday 22 August 2016

VPL: SIMBA SC YAANZA VIZURI KWA USHINDI WA 3-1 DHIDI YA NDANDA


Simba Sports Club walefungua msimu wa Vodacom Premier Luague 2016/17 wa ushinda wa 3-1 dhidi ya Ndanda FC...Vifaa vipya vya Simba ndio waliotingisha nyavu....Sticker mkali kutoka Burundi Laudit Mavugo, Fredrick Blagnon kutoka Ivory Coast na winga Shiza Kichuya walipachika hayo mabao...Timu ya Joseph Omog ilianza kwa ari na kasi kubwa ikionyesha uwezo wa kuwa tishio msimu huu...Mavugo alikuwa hatari zana maeneo ya lango la Ndanda na baada ya kukosakosa mabao alifanikiwa kutingisha nyavu dakima ya 19...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment