Monday 8 August 2016

BYAN CLAUSON: ULIMWENGU WA MASHINDANO YA MAGARI YAMKUMBUKA BYAN CLAUSON


Byan Clauson alifariki dunia jana Jumapili kutokana na majeraha aliyeyapata kwenye ajali iliyotokea juzi  katika mashindano ya Belleville Nationals huko Kansas USA...Baada ya ajali alipelekwa hospitali kwa helicopter na kupelekwa Byan Medical Center huko Lincoln Nebraska...CEO wa Hullman & Co amesema kwa niaba ya familia ya mashindano ya INDY  na Indianapolis 500 wamesikitishwa na msiba huu na kuwapa pole na rambirambi familia ya Clauson...Clauson ambae alitokea Indiana inasemekana alikuwa bingwa wa mashindano mafupi ya barabara za udongo (short-track dirt-car driver)...Pumzika kwa amani Clauson...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment