Monday 22 August 2016

CAF U17 AFCON: ETHIOPIA NDANI Y AROUND NYINGINE


Ethiopia 'The Red Foxes' wameingia round nyingine baada ya kuwachapa Egypt 'Little Pharaohs' 2-1...


Michuano hiyo ya vijana iliona Red Foxes wakisonga mbele kwa aggragate ya 5-2.

Timu hiyo ambayo iko chini ya kocha Atenafu Alemi ilipata mabao kupitia Abubeker Nasir ndani ya jiji la Dire Dawa City.

No comments:

Post a Comment