Wednesday 17 August 2016

RIO 2016: MICHELLE CARTER AWA MWANAMKE WA KWANZA MWENYE ASILI YA AFRIKA KUSHINDA SHOT PUT


Michelle Carter amekuwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya kiafrika kushinda dhahabu ya shindano la kurusha dungu au shot put... Michelle alirusha dungu lake mita 20.63 na kuvunja rekodi ya USA...Michelle ni mtoto wa mkali wa zamani wa American Football akiwa na San Fransisc 49ers, Michael Carter, ambae pia ameshinda Super Bowl mara 3 na ni mtu pekee ambae ameshinda NFL na pia Olympics mwaka mmoja...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment