Wednesday 17 August 2016

MANCHESTER CITY: JOE HART ANAWEZA KUONDOKA MWEZI HUU


Kutokana na kutewa kwenye squad na Pep Guardiola kipa Joe Hart anaweza kuondoka muda wowote mwezi huu...Kuondoka kwake pia kumekuja baada ya Manchester City kukubali kumchukua Claudio Bravo kutoka Barcelona kwa dau la pounds milioni 17...Kwa sasa Pep anamtumia Willy Caballero kama kipa namba 1...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment