Monday 22 August 2016

RIO 2016: USA CHACHUKUA DHAHABU YA MWISHO KABISA OLYMPICS ZA RIO


USA wamefanikiwa kuchukua dhahabu ya mwisho walipowachapa Serbia katika mchezo wa Basketball.


Team USA waliwachapa Serbia 96-66.

Kevin Durant aliweza kuwaongoza wenzake kwa kupata points 30.


Spain walifanikiwa kuchukua Bronze na walifanikiwa kuwachapa Australia 89-88 katika mechi iliyokuwa kali...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment