Tuesday, 9 August 2016
F1: KIMI RAIKKONEN AMUOA MODEL MINTTU VIRTANEN
Kimi Raikkonen aliyewahi kunyakua ubingwa wa F1 (Formula One) ameamua kuacha kukapera na kutulia na model Minttu Virtanen...Harusi yao safi ilifanyika Tuscany ndani ya 'Abbey of San Galdano'...Walikuwa na mtoto wao wa miezi 19 katika hiyo sherehe yao...
Kimi alipima mapigo ya suti ya Navy Blue na mwenzake shela jeupe mithili ya Tausi...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment