Tuesday 16 August 2016

YANGA FC: MANJI AAMUA KUACHIA UENYEKITI WA CLUB


Yusuf Manji amejiuzulu uenyekiti ya club ya Yanga...Ameamua hivyo kwa hiari yake na amesema inatosha...Baada ya hizo taarifa kutoka mashabiki wa Yanga walikutana kwenye club na kupinga kujiuzulu kwa Manji...



Manji amekuwa akiisaidia sana Yanga katika mambo mbali mbali na hivi karibuni alitaka kuikodisha timu kwa muda wa miaka 10 ili aweza kuifanya timu iendeshwe kisasa lakini mizengwe ilikuwa mingi...Sababu hasa haijajulikana lakini inasemekana kuna watu walimshauri asiendelee na mpango wa kukodisha...Mzee Akilimali inasemekana ni mmoja kati ya wazee wanaopinga Manji kukodishiwa timu...Tusubiri hatma ya maamuzi ya Manji na tuone mwelekeo wa timu kuanzaia sasa...


Yanga ni club ambayo ilianzishwa mwaka 1935 na watu wenye kipato cha chini...Sasa inamashabiki wengi sana nchini na nje ya nchi.

No comments:

Post a Comment