Tuesday 16 August 2016

EVERTON: DR CONGO INTERNATIONAL MIDFIELDER YANNICK BOLASIE NDANI YA GOODISON PARK


Midfielder hatari sana kutoka RD Congo na Crystal Palace Yannick Bolasie ameingia Everton kwadau la milioni 25 pounds...Bolasie amekaa misimu 4 na Palace akitokea Bristol City mwaka 2012...Amecheza mechi 143 na kufunga mabao 13...Bolasie amesema yuko tayari kupambana sana hapo Everton...


Ronald Koeman kocha wa Everton amesema alikuwa anatafuta sana Bolasie kwasababu anaweza kucheza winga hatari na anaweza kuhama winga bila shida...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment